ad

ad

Usalama waimarishwa wakati wa kuapishwa Uhuru Kenyatta siku ya kesho.

Jeshi la Polisi nchini Kenya limetoa tahadhari kufuatia kuwepo kwa taarifa za kufanyika maandamano makubwa ya makundi ya watu kutoka maeneo tofauti nchini humo.
Uhuru Kenyata anatarajia kuapishwa kesho tarehe 09.04.2013. Kutoka mjini Nairobi Sudi Mnette amezungumza na Emanuel Kisiangani ambaye ni mtafiti mwandamizi kutoka katika taasisi ya masuala ya usalama (ISS) na kwanza alitaka kujua kuna uwezekano wa kufanyika maandamano makubwa nchini humo? Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Powered by Blogger.