Lissu: Usalama wa Taifa wanatengeneza Ushahidi kwa ajili ya kesi ya Lwakatare
Mkurugenzi wa Sheria na
Haki za Binadamu wa CHADEMA,Tundu Lissu amesema chama chake kimenasa
taarifa za Usalama wa Taifa wakijaribu kuwarubuni vijana wa Chadema ili
wawe mashahidi katika kesi inayomkabili Lwakatare. Pia Lissu amesema
wamenasa taarifa za M-PESA za kijana Ludovick Joseph ambapo taarifa hizo
zinaonyesha kwamba kijana huyo amekuwa akipokea fedha kwa njia ya
M-PESA kutokakwa Mwigulu Nchemba.
Post a Comment