ad

ad

KALALE PEMA PEPONI DADA YETU FATMA MDOE MAZISHI NI LEO MAKABURI YA KISUTU.

 
R.I.P DADA YETU FATMA MDOE.
Mmiliki wa www.saluti5.com na Screen Masters Kinondoni Said Mdoe amefiwa na Dada yake Baba Mmoja mama Mmoja Dakika siku ya jana... 
Taarifa ya utaratibu wa msiba wa marehem Fatma Mdoe Dada yake Said Mdoe aliyefariki ghafla jana jioni, Msiba uko Mbezi beach nyumbani kwa marehem Jirani ya kwa Dk Hizza, Mazishi ni leo saa kumi jioni Makaburi ya Kisutu.Tuzidi kuwaombea wafiwa Mungu awapunguzie maumivu na ampumzishe marehem mahali pema peponi.
2jiachie.com tunatoa pole kwa familia nzima na ndugu na jamaa wa Mdoe.
Powered by Blogger.