ad

ad

Mnada wa nyumba ya Lugumi iliyopo Mbweni wakwama tena, wanunuzi washindwa kufikia bei




NYUMBA ya Lugumi ya JKT Mbweni jijini Dar es Salaam imeshindikana kuuzika kwa mara ya pili kutokana na waliotaka kuinunua kukomea Sh. Milioni 510, hivyo kushindwa kufikia kiwango kinachotakiwa na Mamlaka ya Kodi nchini (TRA).

Nyumba hiyo ilishindikana kuuzika katika mnada uliopita baada ya aliyependekeza kuinunua, Dtk. Louis Shika maarufu kama “Mzee wa 900 Itapendeza” kushindwa kutoa fedha ya awali ambayo ni asilimia 25 na hivyo kuishia mikononi mwa polisi.

No comments

Powered by Blogger.