ad

ad

Hizi Ndio Sababu Zilizomfanya Dr. Shika Atoe Msaada Fedha Kahama



Chuo cha Sayansi ya Afya cha Kahama, mkoani Shinyanga, leo kimefanya mahafali yake ya kwanza kwa kishindo ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkulu, pia katika hafla hiyo chuo kilimwalika mgeni maalum, Dkt. Louis Shika, kutoka jijini Dar es Salaam ambaye aliwasili Novemba 24, 2017 kwa ndege. 

SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Dkt. Shika ambaye amekuwa maarufu nchini kama ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’, alipokelewa kwa shangwe na kuzungushwa katika msafara mrefu katika mji wa Kahama na watu waliokuwa wamepanda bodaboda na magari ambapo alipofika chuoni hapo alishangiliwa na wanafunzi. SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Wahitimu na walimu chuoni walimpongeza Dkt. Shika kwa umaarufu aliojipatia katika mnada huo ambapo sasa ameibua neno maarufu la ‘900 Itapendeza’.

No comments

Powered by Blogger.