ad

ad

Ujauzito Wampendezesha Brandy



MWANAMUZIKI Brandy Rayana Norwood sasa hawezi kujificha tena kwani ujauzito umemnenepesha na kumfanya apendeze. 

Hivi karibuni, Brandy alionekana mtaani akiwa amevaa nguo za mazoezi kwa ajili ya kucheza mpira wa tenisi lakini moja kwa moja muonekano wake na kutanuka kwake kunaonesha wazi ni mjamzito.

 “Ukiangalia tumbo mwenyewe utaamini kuwa ni mjamzito ingawa mwenyewe anajitahidi kuficha,” alisema sosi aliyekuwa karibu.

No comments

Powered by Blogger.