DIAMOND ATUMIA WIMBO WA TAARAB KUWAKEJELI WANAOTAKA AACHANE NA WEMA
Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.
Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. "Umewaona....?????
Endelea ku- like hapa>> www.facebook.com/2jiachie

Kesho wakiachana pia atume wimbo wa taarabu kama alivyofanya sisi yetu macho na masikio halooooo chezea mapenzi wewe
ReplyDelete