• PRIVACY POLICY
  • About 2jiachie
  • Contact us
  • What We Do

2jiachie Official Website

ad

ad
  • Home
    • Habari
    • Ajira
    • Mastaa
    • Video Mpya
    • Music Audio
    • Michezo
    • Simulizi
    • MAHUSIANO
    Home / BURUDANI / Picha / SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA PICHA ZIKO HAPA

    SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA PICHA ZIKO HAPA

    Sunday, August 24, 2014 BURUDANI, Picha

    •  
       
       
       
       
       





     
    Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani. 
    Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.
     
    Mr. Blue akiwapagawisha washabiki jukwaani katika tamasha hilo.Recho akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta mkoani Tanga.Tunda Man naye akifanya yake.Khadija Maumivu akifanya maajabu jukwaani.Shabiki akimkubali jux kwa shoo aliyoionyesha. 
    …Linnah naye akilishambulia jukwaa.
     
    Ruge akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta. 
    Ruge akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya, Halima Omar Dendegu (kulia).
    …Ni MO Music ndani ya usiku wa Tamasha la Fiesta mjini Tanga. 
    Msanii wa Bongo Muvi Kajala akifuatilia shoo kwa karibu zaidi. 
    Linnah akiwa na wanenguaji wake.Ommy Dimpoz akiwajibika mbele ya mashabiki zake. 
    Madee akifanya makamuzi jukwaani. 
    Vannesa Mdee akiliteka jukwaa usiku wa Fiesta mjini Tanga. 
    Washindi wa Dance la Fiesta wakikabidhiwa zawadi Sh. milioni moja na Mkuu wa Wilaya, Halima Omar Dendegu.
    SOURCE: GLOBAL PUBLISERS

    Related Posts

    Picha

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    HIZI HAPA NYINGINE ZIPITIE

    Afya Yetu Audio BURUDANI MAHUSIANO MICHEZO Magazeti Makala Mastaa Nafasi Za Kazi SIASA Simulizi VIDEO MPYA

    Featured Post

    TEMESA Yatangaza Nafasi 6 za Meneja wa Kanda, Maombi Mwisho Februari 20

      Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Ufundi za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika U...

    2JIACHIE PAGEVIEWS

    Random Posts

    Popular Posts

    • JAMANI DADA MARTHA LOOO!-16
      JAMANI DADA MARTHA LOOO!-16
        “Martha acha mambo ya utani bwana.” “Sina utani, anaishi na mimi pale.” “Mh! Kumbe una mume Martha?” “Ndiyo Roi. Ndiyo maana uliponiu...
    • SIKILIZA NADOWNLOAD NGOMA MPYA YA ROMA-2030
      SIKILIZA NADOWNLOAD NGOMA MPYA YA ROMA-2030
    • Mawaziri na Manaibu Walioteuliwa Juzi Kuapishwa Jumatatu
      Mawaziri na Manaibu Walioteuliwa Juzi Kuapishwa Jumatatu
      Tarehe 23 Desemba, 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliwateua Mawaziri wanne, Naibu Waziri mmoj...
    • AZIZA WA FACEBOOK SEHEMU YA O3
      AZIZA WA FACEBOOK SEHEMU YA O3
      Na Nyemo Chilongani. ILIPOISHIA MIMI: Yeah! Ni rafiki yangu ila kila kitu kinatakiwa kufanywa kimahesabu. EDUADO: Usiniangushe basi Sha...
    • Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 17, 2017
      Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 17, 2017
       Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Oktoba 18, 2017. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Mic...
    • Mke Wa Rais Mama Janeth Magufuli Aruhusiwa Kutoka Hospitali, Awashukuru Madaktari
      Mke Wa Rais Mama Janeth Magufuli Aruhusiwa Kutoka Hospitali, Awashukuru Madaktari
      Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji ya Hospitali ya Taifa M...
    • LIVE: Rais Magufuli Anapokea Ripoti ya Madini Katika Makontena ya Mchanga
      LIVE: Rais Magufuli Anapokea Ripoti ya Madini Katika Makontena ya Mchanga
      Fuatilia maangazo ya moja kwa moja toka Ikulu ambapo Mhe. Rais Magufuli anapokea Taarifa ya KAMATI Maalum aliyoiunda kuchung...

    Top Headlines

    Recent Updated

    MICHEZO

    Created By Hit Media & Hit Media
  • Powered by Blogger.