Wimbo Mpya wa Chris Brown - X upo hapa
Chris Brown ameachia wimbo mpya ‘X’, unaobeba jina la albam yake mpya inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.
Kutokana na ukali wimbo huu, Chris anazidisha kiu ya mashabiki wake kuipata album nzima inayaotajiwa kutoka rasmi September 16, mwaka huu ikiwa na nyimbo zilizotangulia zikiwemo Fine China, Don’t Think They Know, na Love More.

Post a Comment