![]() |
| Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’. |
"Natamani sana kuolewa lakini mpaka nimpate mtu mwenye vigezo ninavyohitaji mimi, napenda mwanaume anayejali, atakayeniheshimu lakini awe pia anafanya kazi kama hafanyi kazi simtaki. Lakini pia wanaume wenye pesa siwataki maana tunawaona huko majumbani wanavyotumia kama fimbo kuwanyanyasa wake zao"- Shilole alifunguka.
Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Ufundi za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika U...
Post a Comment