LINGARD MIEZI 18 MAN UNITED, SASA ANA GARI LA SH MILIONI 500, SOKA LINALIPA MWANANGU
Jesse Lingard sasa ana miezi 18 tu ndani ya kikosi cha Manchester United na mafanikio ya kimaisha yameanza kuonekana.
Umri wake ni miaka 24 tu, tayari sasa anamiliki gari la kifahari aina ya
Bentley Continental GT lenye thamani ya pauni 200,000 (zaidi ya Sh
milioni 545.2)
Hii inaonyesha kiasi gain mchezo wa soka unavyoweza kulipa. Kama una kipaji ni vizuri kukitumia kwa ajili ya mafanikio.
Kwa wachezaji wa nyumbani Tanzania, inawezekana vigumu kufikia kununua
gari la Lingard, lakini soka ni mchezo unaoweza kuwa ajira
itakayobadilisha maisha yako. Inategemea kiasi gani uko makini katika
kazi yako.
Post a Comment