ad

ad

BAADA YA KUFUZU KUCHEZA RUSSIA 2018, BRAZIL HAWAJAWAHI KUKOSA KOMBE LA DUNIA TOKEA 1930


Brazil ndiyo timu ya taifa ambayo imefuzu kucheza katika michuano ya Kombe la Dunia tokea mwaka 1930 ilipoanzishwa.

Hii ni baada ya kufanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Russia mwaka 2018. Brazil ndiyo imekuwa timu ya kwanza kufuzu.


Licha ya kwamba ndiyo inayoongoza kwa kubeba makombe ya michuano hiyo, haijawahi kukosa hata mara moja.

No comments

Powered by Blogger.