Staa mwenye jina kubwa hapa bongo,Wema Sepetu kwa mara ya kwanza mkwa
huu, ameweka post yake ya kwanza kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa
instagram, baada kufuta post zote kwenye ukurasa wake huo wenye
followers zaidi ya milioni mbili na nusu hapo mwezi Desemba mwaka jana.
Post a Comment