Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani (CHADEMA), ameikosoa hotuba
aloitoa Rais Magufuli Mkoani Kagera kwa kusema " Hivi mtu ambae amefiwa,
nyumba imebomelewa, hana chakula, hana pesa unakwenda kutoa kauli za
kibabe kwamba hutowapa chakula kwakuwa serikali haina shamba! hivyo sio
sawasawa"
Post a Comment