Rais Magufuli alivyoondoka kuelekea nchini Uganda
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda wakati
akielekea kwenye ndege yake tayari kwa safari ya kuelekea nchini Uganda
kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki unaofanyika jijini Kampala
Post a Comment