RAIS MAGUFULI AWASILI UGANDA, AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS YOWERI MUSEVEN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni
mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Entebe nchini
Uganda.
Rais Magufuli leo amewasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa siku 2 wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utaofanyika tarehe 23/02/2018 Kesho atahudhuria mkutano maalumu katika ngazi ya wakuu wa nchi unaohusu maswala ya miundombinu na afya

Post a Comment