EXCLUSIVE: MAHAKAMA YAPIGA STOP MKUTANO WA DHARURA WA YANGA
| MWENYEKITI WA YANGA, YUSUF MANJI |
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, imezuia kufanyika kwa mkutano wa dharura wa Yanga uliopangwa kufanyika kesho Jumapili.
Taarifa
za uhakika zimeeleza zuia hilo limefanyika jioni hii na tayari Yanga
kama klabu, mwenyekiti wake Yusuf Manji na kampuni ya Yanga Yetu Ltd,
wamefikishiwa taarifa hiyo.
Post a Comment