Hatimaye Ciara achumbiwa na mchezaji wa NFL, Russell Wilson.
Ciara akiwa na mchumba wake, Rusell.
STAA wa muziki wa Pop, Ciara ametangaza rasmi kuchumbiwa na mchumba wake ambaye pia ni mchezaji wa NFL. Russell Wilson.Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Ciara ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Zahir aliyezaa na staa wa Hip Hop, Future aliandika.
“Najihisi nimekalika!.”
Awali Ciara alishawahi kubanjuka kimapenzi na mastaa kibao wakiwemo Lil Bow Wow na 50 Cent.
Imeandaliwa na Andrew Carlos.
Facebook: Andrew Carlos
Insta: Andrewcalos
Post a Comment