Taswira za sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikagua gwaride la Vikosi vya Ulinzi liliandaliwa rasmi katika kilele
cha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika jana katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi wakati wa kilele cha
sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Salim Ahmed Salim.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein mara alipowasili katika
kilele cha sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika kilele cha sherehe hizo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Pichani
kutoka kushoto Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Makamo wa Pili wa Rais Balozi
Seif Ali Iddi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis
Mwamunyange.
Baadhi ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri
Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja katika Kilele cha sherehe za Mapinduzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan
Studium jana akiwa katika gari maalum.

akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi
katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia
miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium.
Baadhi ya Maafisa mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi na Taasisi za Serikali wakiwa katika sherehe za kilele cha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakibeba Picha la Marehemu Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Karume wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini wakibeba mabango yenye ujumbe tofauti kama yanavyoonekana wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi.

Post a Comment