Rais Magufuli Aongoza Kikao cha Kwanza Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam
Alhamisi tarehe 18, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita.
Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita.
PICHA NA IKULU
Post a Comment