Mike ampata mrithi wa Thea
Baada
ya kimya cha muda mrefu tangu alipoachana na mkewe Salome Urassa
‘Thea’, staa wa filamu za Kibongo Mike Sangu amempata mrithi ambaye
ataziba pengo.
Chanzo cha karibu na Mike kililitonya kuwa
Mike ameamua kuingia katika uhusiano mpya na mrembo aitwaye Lizzy G wa
Mwanza baada ya Thea kudai amemsahau na wala akumbuki kama aliwahi
kuolewa naye.
Mike alipoulizwa kuhusu mdada huyo alikiri kamuopoa na kwamba wana mpango wa kuoana siku si nyingi.
Post a Comment