Linah: Sitoi albam hadi wizi ukomeshwe
Esterlinah Sanga ‘Linah’.
Mrembo wa Wimbo wa No Stress Esterlinah Sanga ‘Linah’ amesema
hategemei kutoa albam kwa sasa mpaka pale wizi wa kazi za wasanii
utakapokomeshwa.Akichonga na Showbiz, Linah alisema ataendelea kutoa kazi moja moja hadi pale utakapoingia mfumo mzuri wa kuzuia kazi zao zisiibiwe ndipo atashawishika kutoa albam.
“ Mpango wa kutoa albam upo ila siyo leo wala kesho, hadi pale nitakapobaini kuwa wizi wa kazi zetu haufanyiki tena,” alisema Linah.
Post a Comment