STAA ‘grade one’ kunako Bongo Movies, Kajala Masanja, amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tatuu ya Wema ambayo ameichora kwenye bega lake, kila anapoitazama inamtoa machozi na kuna wakati inamnyima raha siku nzima.
Post a Comment