ad

ad

Chuchu SIJAACHANA na Ray

 
“SIJAACHANA na Ray, mimi siyo malaya wa kubadili wanaume kila kukicha, tunatoka kila mara, maisha yetu yanaendelea, kama kuna mtu anaombea penzi letu life, anajidanganya, sisi ndiyo kwanza mapenzi yanaanza upya, hatujali maneno ya watu na wambeya,” alisema Chuchu.
Powered by Blogger.