ad

ad

Mainda ajitetea weusi alionao sasa

 
MSANII mkongwe wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amedai kwamba rangi yake kabisa ya ngozi ilikuwa nyeusi na siyo nyeupe kama ilivyokuwa na kwamba ni dhambi ya ngozi ndiyo ilikuwa ikimnyanyasa. Kwa sasa amekuwa mweusi tena
Powered by Blogger.