Lulu: Mimi na Dk. Cheni ni siri yetu!

SIKU
Chache baada ya muigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk.
Cheni’ kutoa tamko juu ya kumuoa ‘mtoto mkubwa’ katika tasnia hiyo,
Elizaberth Michael Kimemeta ‘Lulu’, binti huyo mwenye mvuto amesema
hakuna mtu wa kumzuia kuwa karibu na Dk. Cheni huku akishikilia
alichokisema…. “mambo yetu hayamhusu mtu”, Amani linaandika.
Muda
mfupi baada ya Dk. Cheni kusema haoni tatizo kwa kumuoa Lulu, gazeti
hili lilimtafuta msanii huyo kwa njia ya simu “Mtu anayesimama na wewe
wakati wa shida ndiye rafiki kwa kweli, Dk. Cheni amenisaidia pale
ambapo kila mtu alijitenga nami, kama kuna kinachoendelea kati yetu, ni
cha kwetu na mambo yetu,” alisema.
DK CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU ===> BONYEZA HAPA
Post a Comment