JUSTIN BIEBER ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA
New York,Marekani
UNAWEZA kusema sasa Justin Bieber amekuwa hii ni baada ya kutamka wazi kuwa anahitaji mwanamke ambaye anajiamini na mwaminifu ili aweza kuishi naye katika maisha yake baadaye.
Justin Bieber akiwa na rafiki yake Jayde Pierce.
Hii ni kutokana na star huyo kuwa karibu na mwamitindo Jayde Pierce
(19) ambaye hivi karibuni wamekuwa wakiongozana na haifahamiki kama ni
wapenzi au la. Japo hakuna aliyeweka wazi uhusiano huo lakini inaelezwa
kuwa wawili hao wamekuwa wakikutwa sehemu mbalimbali pamoja ikiwemo
kwenye migahawa.Kabla ya kuwa na Jayde, Bieber alikuwa akihusishwa kutoka na Haley Baldwin baada ya kuachana na mpenzi wake wa awali Selena Gomez.“ Nahitaji mtu ambaye anajiamini na mwaminifu, nahitaji kutafuta msichana anayevutia na ambaye atakuwa na mimi maisha yangu yote. “ Nataka uhusiano salama na watu wasiweze kunizungumzia,”.
Post a Comment