BREAKING NEWZ: BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo.
Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.
Hivi hukumu inaweza kubadilishwa nje ya mahakama? Nilitegemea Cheka akate rufaa ndipo pengine hukumu ingebadilishwa baaada ya mapitio na kubaini mapungufu yake.
ReplyDeleteHata hivyo ni habari njema kwake , familia yake na wapenda masumbwi kwani nahisi kulikuwa na "mkono wa mtu" kwenye shitaka lake