ad

ad

PICHA YA LULU YAZUA UTATA MTANDAONI




Mara kadhaa tume kuwa tukiwaona  baadhi ya ndungu zetu ambao Lugha ya malkia inawapiga chenga wamekuwa wakivaa nguo zenye maandishi ambayo huwa hayafai lakini hawa mara nyingi huwa hawajui maana ya kile ambacho kimeandikwa.
 

Sote tunatambua kuwa watu wenye uelewa kama wa mrembo huyu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hawezi kuvaa nguo yenye maandishi akiwa ajui maana yake au hakubaliani na kile kilichoandikwa. Sasa je mtoto lulu ni kweli  anamaanisha hiki kilichoandikwa hadi kupiga nacho picha na kutupia mtandaoni. Au labda ni dili amepata la kutangaza kinywaji.

No comments

Powered by Blogger.