ad

ad

HIVI NDIVYO DIAMOND NA ZARI WALIVYO KULA BATA SIKU YA VALENTINE HUKO ZANZIBAR


MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' Zanzibar.

Wakiendelea kufanya yao.

Zarinah Hassan 'The Boss Lady' akiwaza jambo.
Diamond Platnumz akiendesha kigari cha kutembelea kwenye hotelini akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady'.

A photo posted by Mapichapicha 2jiachie (@2jiachie) on

No comments

Powered by Blogger.