Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi
amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)
Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo
ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba
wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili ambao ni mapacha,Naye
Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you “Marry Me” naye akajibu “I
Do”
Post a Comment