6TH ANNIVERSARY YA GROOVEBACK 2014 NA WINDHOEK DRAUGHT PARTY NDANI YA THE ARCADE HOUSE
Dj JB akiendelea kumwaga Burudani ya nguvu ya ngoma za Zamani na kukuna nyoyo za watu wengi waliofika katika Sherehe hiyo.
Dj Pierra Kutoka Nchini Kenya nae hakuwa nyuma kuendeleza Burudani ya Muziki kwa ajili ya Kusherekea Grooveback Party iliyotimizia Miaka sita
Ni mwendo wa ku party.....
Mashabiki wa Grooveback na watumiaji wa Windhoek Draught wakiwa katika Tabasamu la Hatari ...
Dj KT kutoka Tanzania akiwa anaangusha bonge la moja Burudani .....
Hakuna kulala full ku party ...
Twende Dj Pinye
Post a Comment