ad

ad

SIKILIZA HAPA WIMBO MPYA WA AVRIL-NIKIMUONA


 Avril navunja ukimya leo kwa kutoa wimbo mpya alioupa jina 'Nikimuona' Wimbo huu unatoka 03/10/2014, utaanza kusikika Kenya na baadae kusambazwa Africa Mashariki.Nyimbo za Avril za awali ni pamoja na Mama, Kitu Kimoja na Chokoza.

No comments

Powered by Blogger.