ad

ad

IDIRIS HEAD OF HOUSE BBA HOTSHOTS


Mshiriki aliyebaki ndani ya nyumba ya Big Brother Hotshots, Idris mpiga picha kutoka Arusha, Tanzania ameshinda kuwa kiongozi wa jumba 'Head of House' la BBA Hotshots wiki hii.

Mr. 265, Frankie, Nhlanhla na  Idris  walikuwa washiriki katika shindano la Ghandour Putt-Putt Golf Course Tournament kumtafuta kiongozi wa jumba hiyo wiki hii.
Katika shindano aliyepiga mpira mara chache  zaidi ndiye aliyeibuka mshindi na kumpa faida ya kutokuchaguliwa kutoka ndani ya jumba hilo.

No comments

Powered by Blogger.