ad

ad

LUPITA NYONG'O KWENYE JARIDA LA GLAMOUR KAMA 'MWANAMKE WA MWAKA'


 
Lupita Nyong'o amekava Jarida La Glamour kama 'Mwanamke Wa Mwaka' na haya ndio mambo matano aliyosema kuhusu maisha yake.
1] Anapenda sana kuigiza ila anapata changamoto nyingi kuishi kama mtu maarufu.

2] Ndani ya mwaka mmoja ametoka kwenye kuangalia Tuzo za Oscar kwenye Tv mpaka kushinda tuzo ya Oscar.

3] Imehamasishwa sana na maisha ya Oprah.

4] Aliambiwa yeye ni mzuri akiwa nyumbani ila vyombo vya habari vilimpa mtazamo tofauti.

5] Ameteka watu wengi na style yake inayoitwa 'The Lupita Effect'

 

No comments

Powered by Blogger.