ad

ad

JAMES RODRIGUEZ AMFUATA RONALDO KWENYE BIASHARA YA 'MAKUFURI'



Nyota mpya wa Real Madrid, James Rodriguez, naye ameamua kuingia kwenye biashara ya kuuza chupi za kiume.


Mshambuliaji huyo raia wa Colombia amzindua ‘makufuri’ hayo kwa jina la J10 akifuata nyayo za Cristiano Ronaldo anayeuza nguo hizo kupitia CR7.
WAKIWA KAZINI MADRID.
Mchezaji mwingine aliyefanya biashara hiyo kwa mafanikio pia aliwahi kupitia Real Madrid ni David Beckham.




RONALDO AKITANGAZA CR7.

No comments

Powered by Blogger.