AIRTEL YAZINDUA DUKA LA ARUSHA
Meneja
Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel,
Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni
Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyirembe Munasa wakati wa hafla fupi ya
uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.Katikati ni
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania,
Mkuu
wa Wilaya ya Alumeru, Nyrembe Munasa akizungumza jambo wakati wa
uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la Airtel jijini Arusha .Kutoka
kushoto
ni Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za
mkononi ya Airtel,
Brighton Majwala, Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa
airtel Tanzania,
Mkuu
wa Wilaya ya Alumeru, Nyrembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi
wa duka la huduma kwa wateja la airtel jijini Arusha .Kushoto ni Meneja
Biashara
wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel,
Brighton Majwala.
Meneja
Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel,
Brighton Majwala ( wa pili kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi
ambaye ni
Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyirembe Munasa(kushoto),
Mkurugenzi wa huduma
kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana
Lyamba(kulia) na Maneja wa Kanda ya
Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette
Matindi wakati wa hafla fupi ya uzinduzi
wa duka la huduma kwa wateja
jijini Arusha leo.
Wafanyakazi
wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania,tawi la jijini
Arusha
wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya uzinduzi wa duka la huduma
kwa wateja leo.
Post a Comment