Ilishawahi kutoka taarifa ambayo haikuwa rasmi kuhusu uhusiano wa
kimapenzi kati ya Diamond Platnumz na Hamisa mobeto ambayo Soudy Brown
leo ameonge na Hamisa Mobeto baada ya kusemekana kuna ofisi anataka
kufungua mabayo ndani yake kuna mkono wa mshindi wa tuzo 7 za Ktma2014
Diamond Platnumz.
Post a Comment