ad

ad

PICHA 41 ZA FIESTA 2013 VIWANJA VYA LEADERS DAR..ZIPITIE HAPA.

 Linah akikatika ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
 ( PICHA ZOTE NA 2JIACHIE,DAR )
 Wacheza shoo wa Linah wakifanya mambo ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
 Mwana dada Linah kiukweli kafunika sana.
Linah akikatika sambamba na Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
 Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Juma Kassim 'Sir Nature' akifanya vitu vyake stejini katika usiku wa Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Leaders Club.…
Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
Peter Msechu akifanya vitu vyake stejini.

Snura 'Mamaa Majanga' akionyesha mbwembwe zake jukwaani.
 Snura 'Mamaa Majanga'
 
 Rachel akilishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
Mwanadada Ray C na  Rachel akiwapa raha mashabiki wa Fiesta 2013 waliokuwa 'wamemmis' kwa muda mrefu.

Mwanadada akiwapa raha mashabiki wa Fiesta 2013.Picha zote na 2jiachie.

 Mama wa Majanga . ( PICHA ZOTE NA 2JIACHIE,DAR )

 Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' back Stage.
 Mwanamuziki Alaine Laughton kutoka Jamaica akiwaburudisha maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Fiesta 2013 usiku wa kuamkia leo.
 ( PICHA ZOTE NA 2JIACHIE,DAR )
Mwanamuziki Alaine Laughton kutoka Jamaica akiwaburudisha maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Fiesta 2013 usiku wa kuamkia leo.
 Mnigeria J Martins akisema na mashabiki wake waliofurika katika Tamasha la Fiesta 2013 ndani ya Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo.
 Iyanya akizidi kulishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
 Iyanya akizidi kulishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
Iyanya akizidi kulishambulia jukwaa la Fiesta 2013 na Mwana dada.

BAADA ya shoo ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 jijini Dar kusimama kwa muda leo alfajiri kwa hitilafu ya umeme, itandelea tena saa 9 alasiri leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam bila kiingilio.

Akizungumza na baadhi ya mashabiki wa tamasha hilo waliokuwepo viwanjani hapo baada ya hitilafu kurekebishwa, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alisema kuwa shoo itaendelea saa 9 na wasanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Davido kutoka Nigeria, Mohombi kutoka Sweden, Nay wa Mitego na Bendi ya Twanga Pepeta watatoa burudani ya nguvu.

Aliongeza kuwa mashabiki wategemee 'sapraiz' kibao wakati wa shoo hiyo. Wasanii waliopiga shoo baada ya umeme kurudi katika hali yake ni pamoja na Kalapina, Chid Benz na Darasa japo mashabiki wengi walikuwa wameondoka viwanjani hapo.

( PICHA ZOTE NA 2JIACHIE,DAR )
Powered by Blogger.