HUYU NDI MWANAMKE TAJIRI AFRICA MASHARIKI.

kudadadadeki mmmmh haaa angekuwa mwanafulenge
ktk hii stage mamaaaa sisemi
ila haya maisha hayagusiii hata robo
sijamtaja mtu mjuwe eeeeh
Simple Zari
Nadhani unalijuwa aina ya gari hapa bongo analo naniiiiii? lovie Delina ze don asiyejionyesha.

ooooh lovely

haaaaa watu hawazungumzi wanatenda bana hotel ya zari inakuja +256

watu wenye mikwanja yao huwa hawaongei
sanaaaa ni vitendo tuuu

huyu ndiye Diva wa EA
wengine tubaki tukiongea tu
yeye anaonyesha matendo

the bosslady

Post a Comment