MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ACHIWA KWA DHAMANA
Leo mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha chadema Godbless Lema ameachiwa kwa
dhamana mashariti yalikuwa si mazito sana baada ya kutoa sh 1,000,000/= na kuonyesha kitambulisho.
Wadau wengi wa chadema wameweza kujitokeza kwa wingi
mahakamani siku ya leo ,
Mpaka sasa Wananchi wa Arusha wanaelekea katika ofisi ya chadema wakiwa na mabango yakisomeka Mkuu wa mkoa wewe umechaguliwa na kikwete na Lema ni wa kwetu.

| Mbunge akiwa kizimbani |
HABARI KAMILI KUWAJIA HAPA BAADAE
Post a Comment