Kurasa za ngono zatawala Facebook, zifahamu zilizo maarufu Tanzania .
Unaikumbuka blog ya Ze Utamu ilivyokuwa maarufu enzi hizo?
Kama ingekuwepo hadi leo tunaamini ingekuwa blog inayosomwa pengine kuliko zote
nchini. Bahati mbaya ama nzuri blog hiyo ilifungwa kitambo na mmiliki kukiona
cha mtema kuni baada ya polisi wa kimataifa kumkamata na Mungu ndio anajua mtu
huyo yuko wapi sasa hivi.
Lakini sasa hivi wakati ambao mitandao ya kijamii kama Facebook imejipatia
umaarufu nchini, kuna makundi ama kurasa zimefunguliwa na kujipatia umaarufu
mkubwa.
Kurasa hizo hazina tofauti sana na yaliyokuwa maudhui ya
blog ya Ze Utamu. Kile kinachoandikwa na picha zinazowekwa ni za ngono zaidi.
Picha nyingi zinazoonekana ni za wanawake walionusu uchi ama uchi kabisa ambazo nyingi zimekuwa
zikipata maoni mengi kutoka watu waliojiunga na kurasa hizo.
Kwa sasa kurasa
hizo za ngono zimekuwa maarufu kiasi cha kuanza kuzizidi hata zile zinazozungumzia
masuala ya muhimu kama vile siasa nk.
Ni ukweli usiopingika kuwa ngono huvuta hisia za wengi,
lakini swali ni Je! Kuongezeka kwa umaarufu wa makundi haya kwenye mtandao wa
Facebook ambao lengo lake lilikuwa ni kuwakutanisha marafiki na jamaa na
kufahamu mengi yanayoendelea katika maisha na pia makampuni makubwa yakiutumia mtandao huo
kama njia ya kuwasiliana na wateja, kunaifanya Facebook iwe mtandao usio na
maadili kuliko mingine kama Twitter?
Je huu ni mwanzo wa mtandao huo kuchimbiwa
kaburi na watumiaji wake?
Tunachaane na hayo na sasa tukupe fursa ya kuzifahamu
kurasa hizo zilizo maarufu zaidi nchini.
1. Jicho
la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.

Post a Comment