ad

ad

HAPA NDO KAZIKWA MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA ALIYE UWAWA KWA KUCHOMWA KISU IRINGA LEO.

                  Hapa ndo kazikwa kijana wetu mpendwa Henry Vitus leo iringa.
Marehemu Henry Vitua alizaliwa 05-02-1986 na kukutwa na majanga siku ya 23-04-2013.
Henry Vitus  anayedaiwa kuuwawa na watu wasiojulikana jumanne hii majira ya saa 4 usiku katika eneo la CDA njiro Arusha,Amezikwa mchana wa leo nyumbani kwao Iringa.
 
                                                                 Enzi za Uhai wake.
Hali hiyo imepelekea uongozi wa chuo hicho kutangaza kukifunga chuo kwa muda usiojulikana.

Powered by Blogger.