BETHIDEI’ PATI YA BATULI FULL MARAHA
USIKU wa kuamkia leo ilikuwa ni sherehe ya kuzaliwa kwa msanii wa
Filamu Bongo, Batuli ambayo ilifanyika ndani ya Ukumbi wa Amool Hoteli
iliyopo Sinza Lion jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa wenzake
kibao.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
Post a Comment