UUUUUUUIIIIIIIIII MBAVU ZANGU JAMANI.
Masai alipeleka redio yake kwa fundi, ilipofunguliwa ili
itengenezwe, wakatoka mende weeengi, masai alivyoona hivyo akamwambia
fundi ''KAMATA HAO WATANGASAJI WANAISIA..., Teh! Teh! teh! fundi akashindwa kuwakamata, masai akamuuliza fundi sasa natengenesa nini wale tangazaji pengine ndio iliyokuwa inagombana ndio maana ilikuwa inapiga kelele. ingekamata ili tujue inagombania nini. fundi kashindwa kuvumili na kuanza kucheka masai akajua kuna baadhi wamebaki, akamuuliza fundi vipi imebaki ngapi. hata ikibaki moja tuu ya taarifa habari natosho kwa leo. teh teh teh teh teh..
Post a Comment