SKYLIGHT BAND YAANGUSHA PARTY YA KUKATA NA SHOKA @ THAI VILLAGE
Pichani
Juu na Chini ni baadhi ya mashabiki kati ya 100 waliobahatika kuonja
Shots za Tequila katika usiku maalum ulioandaliwa na SKYLIGHT BAND
Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2013 kwa ajili ya kuwashukuru wadau na
mashabiki wote wanaotoa Support kwa Band hiyo yenye miezi 4 tu tangu
kuzaliwa kwake.(Picha na dewjiblog).
Wadau
wakishow love kwenye sehemu maalum iliyoandaliwa na SKYLIGHT BAND kwa
ajili ya Fans wao kupiga picha za kumbukumbu...Kutoka kushoto ni Justin
Ndege, Dr. Sebastian Ndege (wa pili kulia) na Eddie pamoja na wadau wa
bendi hiyo.
Ushers waliokuwa wakihudumia wateja wa SKYLIGHT Band wakipozi kupata Ukodak.
Warembo
waliobahatika kuwahi siku hiyo walipata T shirts za bure kutoka
SKYLIGHT BAND ila kwa wanaume walionunua hizo alizoshika Binti mrembo.
Kipaji
kipya kilichotambulishwa rasmi katika usiku huo maalum wa kuwashukuru
mashabiki na wadau wa SKYLIGHT BAND si mwingine ni Salma Yusuf binti
mwenye kipaji cha kuimba na kupiga gitaa akitoa burudani usiku huo.
Pichani
Juu na Chini ni Kikosi kazi cha SKYLIGHT BAND kikishambulia jukwaa kwa
furaha isiyo na kifani katika usiku maalum wa kuwashukuru mashabiki na
wadau wa Band hiyo.
Hapo Sasa twende kazi.... Sam Mapenzi sambamba na Aneth Kushaba AK47 wakionyesha ufundi wao.
Mmoja wa Fans wa SKYLIGHT BAND akilipanda jukwaani na kuomnyesha umahiri wake wa kucheza moja ya nyimbo za Band hiyo.
Hawakutoka mikono mitupu walizawadiwa Tshirts pamoja na Mvinyo kama inavyoonekana pichani.
Aneth Kushaba AK 47 kazini.
Papaaaa....Justin Ndege akimwaga noti kuwatunza SKYLIGHT BAND.
Salma Yusuf akiwajibika baada ya kutambulishwa rasmi na uongozi wa Band hiyo.
Hapo sasa mduara umekolea....Full kuzungusha nyonga.
Shabiki
mwingine huyo hakuweza kuvumilia alipanda Juu ya jukwaa na kucheza
'Carolina' moja ya nyimbo za SKYLIGHT BAND zinazobamba mjini.
Hapo sasa....Chezea SKYLIGHT BAND wewe.....balaaaaa...!!!
Haya sasa lote lako ushindwe mwenyewe.....!!!
Sura mpya zilizojitokeza kusheherekea katika usiku maalum wa SKYLIGHT BAND kuwashukuru mashabiki wake.
Couples iliyobamba katika usiku maalum wa Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2013.
Blogger King Kif akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM, Beno Malisa.
Wadau
wakishow love katika usiku maalum wa kuwashukuru mashabiki wa SKYLIGHT
BAND ikiwa ni miezi minne tu tangu kuanzishwa kwa Band hiyo ambayo
imeonyesha kukubalika kwa Watanzania na hata raia wa kigeni.
Mkurugenzi wa Perfect Lady Saloon akiwa na Mdau kwenye usiku maalum wa kuwashukuru mashabiki wa SKYLIGHT BAND.
Mdau John Mwansasu akiwa na marafiki.
Mdau Eric Ndalu na mshikaji wake.
Picha Juu na Chini ni Sura mpya za mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakishow love mbele ya camera yetu.
Watoto wazuri katika pozi.
Model katika pozi.
Mabloggers wakishow love John Badi (kushoto) na King Kif.
Post a Comment