AFCON 2013 : RATIBA NA MUDA
Timu ya AFRIKA KUSINI wenyeji wa mashindano ya mataifa ya AFRIKA watafungua dimba la mashindano hayo na timu ya CAPE VERDE baada ya droo kama ratiba ilivyopangwa nchini AFRIKA KUSINI.
Katika kupanga makundi hayo Rais wa AFRIKA KUSINI naye alikuwa mmoja wapo wakati wa droo ambapo timu yake ya BAFANABAFA ipo kundi A ikiwa na timu ya ANGOLA, MOROCCO na CAPE VERDE
Timu ya GHANA ambayo mara ya mwisho kutwaa kikombe cha mataifa ya AFRIKA ilikuwa mwaka 1982 imepangwa na timu za DR CONGO, NIGER na MALI .
Mabingwa wa kombe hilo ZAMBIA wao wako kundi C na NIGERIA ETHIOPIA AND BURKINA FASO.
IVORY COAST waliotinga fainali na ZAMBIA wao wako kundi D na timu ya TOGO, TUNISIA, na ALGERIA.
Tangu mwaka 2000 CAMEROON wamtwaa mara mbili mwaka 2000 na 2002 wakati 2004 kombe litwaliwa na TUNISIA huku nchi ya MISRI ikilitwaa mara tatu kabla ya mwaka 2012 nchi ya ZAMBIA kulitwaa kombe hilo.
MAKUNDI:
Group A: South Africa (A1), Angola (A2), Morocco (A3), Cape Verde (A4)
Group B : Ghana (B1), Mali (B2), Niger (B3), DR Congo (B4)
Group C : Zambia (C1), Nigeria (C2), Burkina Faso (C3), Ethiopia (C4)
Group D : Cote d’ Ivoire (D1), Tunisia (D2), Algeria (D3), Togo (D4)
Group A
19 Jan: South Africa vs. Cape Verde (18:00); Angola vs. Morocco (21:00) – Johannesburg
23 Jan: South Africa vs. Angola (17:00); Morocco vs. Cape Verde (20:00) – Durban
27 Jan: South Africa vs. Morocco (19:00) – Durban; Cape Verde vs. Angola (19:00) – Port E.
Group B
20 Jan: Ghana vs. DR Congo (17:00); Mali vs. Niger (20:00) – Port Elizabeth
24 Jan: Ghana vs. Mali (17:00); Niger vs. DR Congo (20:00) – Port Elizabeth
28 Jan: Ghana vs. Niger (19:00) – Port Elizabeth; DR Congo vs. Mali (19:00) – Durban
Group C
21 Jan: Zambia vs. Ethiopia (17:00); Nigeria vs. Burkina Faso (20:00) – Nelspruit
25 Jan: Zambia vs. Nigeria (17:00); Burkina Faso vs. Ethiopia (20:00) – Nelspruit
29 Jan: Zambia vs. Burkina Faso (19:00) – Nelspruit; Ethiopia vs. Nigeria (19:00) – Rustenburg
Group D
22 Jan: Cote d’ Ivoire vs. Togo (17:00); Tunisia vs. Algeria (20:00) – Rustenburg
26 Jan: Cote d’ Ivoire vs. Tunisia (17:00); Algeria vs. Togo (20:00) – Rustenburg
30 Jan: Cote d’ Ivoire vs. Algeria (19:00) – Rustenburg; Togo vs. Tunisia (19:00) – Nelspruit
Post a Comment