MGOMBEA ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa na polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa Kata ya Magomeni. Akizungumza mchana huu Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene amethibitisha kukamatwa kwa mgombea huyo.
Post a Comment