Madiwani Wawili Chadema Wajiunga CCM Arusha
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia cha Maendeleo (Chadema) mmoja
wa kata ya Daraja Mbili, Prosper Msofe na Diwani wa kata ya Terrat,
Obeid Meng’oriki, wamejiuzulu na kutangaza kujiunga na Chama Cha
Mapinduzi (CCM) kwa kile walichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi za
Rais John Magufuli.
Post a Comment