Mbunge Nassari Anusurika Kuuawa Kwa Risasi Na Watu Wasiojulikana
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari usiku wa kuamkia leo yeye na familia yake walivamiwa nyumbani kwao na kundi la wahalifu wasiojulikana wakiwa na silaha na kufyatua risasi kama mvua kwa lengo la kumshambulia Mbunge huyo. Mbwa wa Joshua Nassari akiwa amekufa.
Kabla ya tukio hilo, Mbunge Nasari mchana wa Ijumaa alitembelea wahanga wa tukio la kushambuliwa kwa mapanga kwa baadhi ya wananchi katika kata ya Makiba siku moja kabla ya marudio ya uchaguzi mdogo wa udiwani.

Hata hivyo kelele za mbwa na kutojua nyumba anayolala Nassari kati ya nyumba tatu zilizopo eneo hilo zimesaidia kumwokoa ambapo watu hao walifanikiwa kumuua mbwa wake mkubwa huku Mbunge huyo na mkewe wakifanikiwa kutoroka na kutokomea kizani usiku na baadaye kutoa taarifa Polisi. [caption id="attachment_184891" align="aligncenter" width="727"] Baadhi ya risasi zilizotumika kuua mbwa.ZIPO asubuhi zingine hujisikii hata kuamka. Mawazo ni mengi. Huoni kama lipo tumaini. Jikongoje, mtoto wa Mungu, yawezekana muujiza wako upo katika hatua chache dhaifu utakazozipiga leo.— Joshua Nassari (@joshua_nassari) November 22, 2017
Kabla ya tukio hilo, Mbunge Nasari mchana wa Ijumaa alitembelea wahanga wa tukio la kushambuliwa kwa mapanga kwa baadhi ya wananchi katika kata ya Makiba siku moja kabla ya marudio ya uchaguzi mdogo wa udiwani.
Hizi ndizo baadhi ya risasi zilizotumika kuua mbwa. pic.twitter.com/0XdKZICYTy— Joshua Nassari (@joshua_nassari) December 2, 2017
Post a Comment